Sumve 2015
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 4,621
- 4,317
Mbona ukarimu wa mwendo kasi aisee kuna nini nyuma ya pazia?I don't drink
Mbona ukarimu wa mwendo kasi aisee kuna nini nyuma ya pazia?I don't drink
Hahahaha,muda wa kujiandaa na mazoezi huu mkuuMimi siko macho, nipo Kitandani
Sana tu, hapa napumzika baada ya push-upsHahahaha,muda wa kujiandaa na mazoezi huu mkuu
Ongeza,squash kadhaa,ila km vipi ungeingia road kbs kujaza pumziSana tu, hapa napumzika baada ya push-ups
Upo kakaI missed this forum...habari zenu?
Upo kaka
Poa kabisa,kwema huko ?Yes aje?
Poa kabisa,kwema huko ?
I missed this forum...habari zenu?
Mbona ulichoandika hakisomeki kana kwamba umeandika ukiwa usingizininiko macho huwezi amini karibu tuchat!!
Hahaahahahah mtakua Walinzi nyie sio bure
Hata popo ni Walinzi tu, HahahaahhaPopo wanalala mchana usiku macho lol
Tupo kama kawaSungu sungu wa jf