We mwana nipe hao kamba kocha ntafune na nataka sweet chili sauce dip!!
Njoo bibi ule watam balaa
We mwana nipe hao kamba kocha ntafune na nataka sweet chili sauce dip!!
Hata mi nimekumiss Jerrymsigwa na yale mandondo yako ya nazi :lol::lol::lol:
:lol::lol::lol::lol:tutapata laana bure itabidi tufanye maulidi!!
Dah Prawns watam hawa,afu wapo so crispy yummy....Umewaweka nn mpenzi?Njoo bibi ule watam balaa
Dah Prawns watam hawa,afu wapo so crispy yummy....Umewaweka nn mpenzi?
Mimi nimechoka, nalala
Usiku mwema
sijawahi kula hao wadudu kabisa bt nitajaribu siku mojaTangawizi,saumu,pilipili manga,uzile,chumvi na limau ya pilipili nkawaacha kdg wakolee kama 1 hour then nkawakaanga moto mdogo mdogo
sijawahi kula hao wadudu kabisa bt nitajaribu siku moja
ntajaribu umenitamanisha sanaShrimp/prawns why? Ni watamu sana kuliko samaki
ntajaribu umenitamanisha sana
Pole sn ndgKule siasani nimepigwa ngeu za kutosha....nimekuja kujiliwaza hapa bandugu!
Pole sn ndg
Sema mi nipo nimekodoa
hahahaha....id yako tu mkuu mm hoi
Aha don't mind it.
Don't judge the book by looking at its cover!