Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,688
Ndo kumekucha tukalale tena??Haya mkalale sasa
Ndo kumekucha tukalale tena??Haya mkalale sasa
Ehhhh asa hapa mduara hauchezeki,ushaniweka roho juujuu mtume!!!Karaokee siitaki tena nimeaghiri!!Mi nalinda jukwaa hili..nimesikia kuna vjana wa Alshabab wapo hapa
Ndo kumekucha tukalale tena??
Hapa kuna mkesha wa pasaka babu we!!Haaha aisee...Bado sana...
Ehhhh asa hapa mduara hauchezeki,ushaniweka roho juujuu mtume!!!Karaokee siitaki tena nimeaghiri!!
Nzuri za kwako
Hapa kuna mkesha wa pasaka babu we!!
Ha ha ha huu uzi bado upo...nimekumbuka mduara tulokuwa tukiucheza loh....:lol:
We mwana nipe hao kamba kocha ntafune na nataka sweet chili sauce dip!!Njoo tutie nguvu mduara wa leo babu kubwa
Mfanye haraka mana napiga matongee lol
Ha ha ha uwiii huu mkesha mwengine lol!!Mkesha c ulikua Jana...au Yesu kafufuka tena??
Itakuwa sio faragha bana wacheza huku wapiga macho kushoto na kulia kuhofia uhai teh :behindsofa:Tucheze taratibu huku tumeshka mapanga na sime mikonon
Shwari kbs, miss you guys
Ha ha ha uwiii huu mkesha mwengine lol!!
Itakuwa sio faragha bana wacheza huku wapiga macho kushoto na kulia kuhofia uhai teh :behindsofa:
:lol::lol::lol::lol:tutapata laana bure itabidi tufanye maulidi!!Tukachez karbu na misikit maana huko hawaj kabsa...Teh
:lol::lol::lol::lol:tutapata laana bure itabidi tufanye maulidi!!