Nani yuko macho tupige stori?

Nani yuko macho tupige stori?

Hii thead tumetoka nayo mbali ingawa kwa sasa wadau awaichangamkii tena mi nilikua likizo ya miezi 5 kosa langu sitoweka hapa ila kwa leo nawaita tu wakongwe Ngongoseke , farkhina, Jerrymsigwa etc karibuni tufufue thread.
 
Last edited by a moderator:
Hii thread tumetoka nayo mbali ingawa kwa sasa wadau awaichangamkii tena mi nilikua likizo ya miezi 5 kosa langu sitoweka hapa ila kwa leo nawaita tu wakongwe Ngongoseke , farkhina, Jerrymsigwa etc karibuni tufufue thread.
 
Last edited by a moderator:
Asante sana Mkuu Excel naona wadau wamekimbia thread au kwa sababu Yanga kabaniwa na muarabu ?

hahaaa!! sidhan kama ndiyo, labda shughuli nyingi... hivi kwanini ulipotea? tuanzie hapo kwanza..
 
hahaaa!! sidhan kama ndiyo, labda shughuli nyingi... hivi kwanini ulipotea? tuanzie hapo kwanza..

we acha tu mkuu Excel nilikula ban ya miezi 5 kwangu ni adhabu kubwa sana kuwai kukumbana nalo dah asee.
 
Last edited by a moderator:
loh! pole sana mkuu! miezi mitano si mchezo!! ulifanyaje rafiki yangu... mbona mbaya sana hiyo?

nilikua kule siasa Mkuu Excel nikamuambia mleta uzi kwamba kwa kua ana element za usaliti dawa yake ni kukatwa kichwa . Hapo nikaambiwa kua JF SIYO JUKWAA LA WAHAINI NIKAPUMZISHWA MIEZI 5.
 
Last edited by a moderator:
nilikua kule siasa Mkuu Excel nikamuambia mleta uzi kwamba kwa kua ana element za usaliti dawa yake ni kukatwa kichwa . Hapo nikaambiwa kua JF SIYO JUKWAA LA WAHAINI NIKAPUMZISHWA MIEZI 5.

aisee!! pole sana mkuu...!!

but, welcome back to the game... kwani haukuwa na ka-id kengine ka kupunguzia machungu? duh.. muda mrefu aisee!
 
Mkuu we acha nili creat ID mods wakaunganisha nika creat nyingine wakaunganisha tena acha tu mkuu.

aisee!! pole sana mkuu...!!

but, welcome back to the game... kwani haukuwa na ka-id kengine ka kupunguzia machungu? duh.. muda mrefu aisee!
 
Back
Top Bottom