Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,400
Ngoja niwasikilize maana uzee hakulaliki
Mkuu we ni mzee? Saivi usiku huu wote macho hayaumi kuangalia screen ya simu/computer?
Ngoja niwasikilize maana uzee hakulaliki
Nimevaa miwani najitahidi kupambana na miwani muda huu si umesikia tena uzee tuliuacha chalinze?
Hamlali nyie
Hamlali nyie
Ngoja niubembeleze tena maana ule muda huo unakuja kwa kasi
Walinzi tunalalaje?
Hii thead tumetoka nayo mbali ingawa kwa sasa wadau awaichangamkii tena mi nilikua likizo ya miezi 5 kosa langu sitoweka hapa ila kwa leo nawaita tu wakongwe Ngongoseke , farkhina, Jerrymsigwa etc karibuni tufufue thread.
Kuna watu nimewamiss sana hapa mimi niko salama sijui wenzangu
Mi mzima bill kiwatengu hajambo huwa nalinda nae
Mpe hai muambie asiwe anasinzia na kumuacha bibie peke ake kwani hatari jamani .
Ngoma imepata mchezaji.
Mpe hai muambie asiwe anasinzia na kumuacha bibie peke ake kwani hatari jamani .
Ntamwambia
Mkuu niaje vipi ulishauza vile vipuri vya mnara? Mis u too.