Rich Pol
JF-Expert Member
- Oct 11, 2013
- 7,877
- 5,694
Hata sijalala Leo sijui tu kwanini karibu mwezi mzima nipo na hali hii.. too much nachukia ka nini
Utakuwa na mawazo tu, unakunywa?
Hata sijalala Leo sijui tu kwanini karibu mwezi mzima nipo na hali hii.. too much nachukia ka nini
Ahahahaahaaa simtaki walaa. Sema naogopa tu ila yeye muache aende tu
Utakuwa na mawazo tu, unakunywa?
asante sana mkuuPole mkuu
Kunywa nini mine? Kama a
Vilevi mie sio mdau. Ni changamoto tu za kiutu uzimaa
asante sana ndugu yangu.Pole kunywa maji mengi mkuu, you will be okey
Humu tupo au tumelala?@farkhina...
......umerudi?
upo..?
yeah ndio muda ulikuwa huo.....Yah mkuu ndio unasmka?
yeah ndio muda ulikuwa huo.....
yaani acha tu....Poa sie wakeshaji huwa tupo tu almost 18hrs/day
......umerudi?
Wale wa lindo zamu imefika huku mkujee please.
Mmmh mi napita tu lindo jema
Humu kuna wenye lindo wanajijua. Mi naliwekea ulinzi wa juujuu tu
Humu kuna wenye lindo wanajijua. Mi naliwekea ulinzi wa juujuu tu