mbeya yetu
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 487
- 102
mbona hupigi hodiXana:thumbup:
mbona hupigi hodiXana:thumbup:
Muda huu nani yupo hewani akuje....
NB;
Shart awe jike. Muda huu sichart na dume.
Nipoooo
Bado usingizi !kama wewe ni demu olewa na kama ni man oa usingizi utakuja tu baada ya kazi za kutwa nzima
mmmh..! nimewamisi, farkina, jerry, jawilat, na wengine wale wa toka mwanzo. mu wazima?
Kumbe tupo wengi...
Karibu mkuu.
Asante sana mkuu, mambo aje huko ulipo?
Huku kwema sana.... Vipi huko ulipo???
Wacha wewe poleee
Wacha wewe poleee
shansarie karibu kulala
Mmmh mi macho kodo naangalia tu
usingizi bibie