yani unaniita halafu tena unarudi kulala? hahahahaaaa!!!
mkuu unachekesha bana!!
haya msalimie sana Jawilat, farkhina, mimi49, 'Valentina' na Ngongoseke!
unajua sisi huku philadelphia, majira ni tofauti kabisa na nyie huko tz!
saa ngapi sasa hivi lakini?
Habari ya wakati huu jamani waungwana?
Salamaaa....
Njema muungwana..habari yawewe? Siku yako imekwendaje?
Niambie
eti umenyoosha masikio kabisa unasubiri kuambiwa...
Mwambie mwenzio bana...
huu ndio mtaa wa watu wasiolala? na mie nimo leo.
huu ndio mtaa wa watu wasiolala? na mie nimo leo.
hamujamboooo
Tumezipata mkuu,shukrani.
farkhina... mambo mtoto mzuri!? jamani mwenzio sina hamu ya kulala!!
haya mama!!
naona leo umevuta shuka mapeeeeema!!
hahahaaa!!! chezea ugwadu wewe!! baba nanii kakomaa leo! teh teh!