Nilijua ushawekwa ndani wasubiri kuchezwa mwali wewe
Nilijua ushawekwa ndani wasubiri kuchezwa mwali wewe
Nipo nilhamishiwa zamu ya mchana ati usiku naishia ulabuni,,,
sijui ni nani aliniharibia humu ndani jerymsigwa
I missed u much mdada!! Mambo?
Polee sana...unayo karafuu?
Nilijua ushawekwa ndani wasubiri kuchezwa mwali wewe
Ndio ila isiyotwangwaa
usiku mwema!
jiachie na nanii bwana!
usimbanie!
kachoka leo
Jaman naumwa jinOoo!
Swalaaaaaa.... Swalaaaaaa......
Swali kabla hujaswaliwa!!
Hamjamboni wapendwa?
Nambe ulifichwa wapi???
hahahaaa!! ngoja nikucheke!
yani unauliza halafu unalala?
mi ndo napata lunch ya usiku!
mkatiane minofu lol
Tuko powa mambo aje?
Swalaaaaaa.... Swalaaaaaa......
Swali kabla hujaswaliwa!!
Hamjamboni wapendwa?
Nambe ulifichwa wapi???
Ni pouwa, napita zangu aisee.... Si wajua mida ya masjid!!! Byeee.....
:car: :car:
Pole sana, dah la chini ama juu?
Niombe dua nzuri jamani...
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums