Tuko full ngwamba
Jana ulipotelea wapi?
Umekosa jana palichangamka sana
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Tuko full ngwamba
Heee ulimwagiwa nn aisee
Jana ulipotelea wapi?
Umekosa jana palichangamka sana
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Jana ulipotelea wapi?
Umekosa jana palichangamka sana
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Kaniambia@jerrymsigwa...Jana maji yalizidi unga...nasikitika kumithi Jana...mambo vipi lkn ?
Nimeambiwa kweli Jana nimekosa mambo
Nlimwagiwa uchovu mwenzio,ilikua full kuchokesti yani
Hahahahaha haya bana ila sentes yako tata sana
nani yupo humu?
Mmh! We mawazo yako yanasemaje best?
Leo wahi mapema basi...
njoo bas mamiii..
Haya poa katuombee, na kwako pia j2 iwe nzuri
Kwa nini mkaombewe?una deni nyumba ya ibada??..
Nipo? Hujambo?
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
hujambo?
Jambo sana,nipe mchakato waleo
tarehe 26 ileee farkhina tutavaa nguo gani etii?