Nani yuko macho tupige stori?

Hahahahahhah leo umeamua kunizodoa....najuaje mie mambo hayo😱😱😱😱😱

We unajua misosi ya kupikia "top plate cooker" tu? Na hii ya kupikia kuni poa tusaidie ss wengine tuko bush
 
nipo kwenye foleni.
ubungo to kibaha. niko hapa rombo sasa, leteni habari!
 
toka saa tano usiku. hadi saa hivi hata kimara baruti sijafika. noma noma.
feel like kuliacha gari hapa.

Hao wenzio sio watu...acha gari kimbiaπŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„
 
nipo kwenye foleni.
ubungo to kibaha. niko hapa rombo sasa, leteni habari!

Dah aisee pole mkuu, foleni sa7 usiku? Park gari ukalale kuna gest bubu hapo kuanzia msikitini, rombo, baruti..dont risk kudrive night
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…