Nani wanamshauri rais TZ? - Lazima tutafakari hili...

Mkubwa..washauri wakubwa ni hawa wafuatao;-1.Wasira 2.Riz one 3.salma.k 4.kinana 5.mwigulu 6.lusinde 7.mulugo 8.rweyemamu yulee msemaji wa ikulu 9.ighondu 10.ghasia 11.kombani....hawa ndo wanaharibu kichwa cha rais....maskini kikwete!
umemsahau nape!
 
mimi nadhani hawa washauri wanamfanyia kusudi huyu baba jamani, Haingiii akilini kabisa hii.
 
Iundwe tume ya kuwachunguza hawa washauri wa Rais wetu.
..dada mi naona kwasasa tulishachelewa...cha msingi tuangalie tunakoenda..ili yasirudiwe makosa yale yale...Hili linaweza kufanyiwa kazi kwenye katiba yetu mpya...maana inaonekana tusipofanya hivi..alafu tukampata rais mbovu tena...ambaye ataweka washkaji wamshauri(au kutokuwa na washauri kabisa)...maana kwasasa hili linaonekana kufanyika kwa utashi wa rais mwenyewe....Mi naona kuondoa hili kujirudia...ni vizuri tukawa (kikatiba)na presidential advisory commetee..ikajulikana kabisa watu wake na majukumu yake...ili rais akichemsha hawa nao walaumiwe....hili litasaidia sana......vinginevyo tutaendelea kubaki na rais mwenye final say...kwa matakwa yake...tena kwenye mambo ya msingi ya kitaifa....we have to find a way to deal with this...
 
Kupanga ni Kuchagua,
Tunavuna tulichopanda, Hapa hakuna cha Utamaduni, Mila wala nini,
Mchawi ni Mimi, Wewe na Mwananchi wa Tanzania.
Rais ni Binadamu kama Mimi na Mtu yeyote, sisi ndio tunaruhusu haya mambo kutokea.
Tunawaachia Viongozi wetu wajiamulie tu hata kama hawafuati Sheria na Katiba za Nchi.
 
..siyo kwamba wanaitumia vibaya ridhaa waliyopewa na wananchi??...anyway....mimi nadhani tuangalie zaidi ni watu gani tunawachagua kutuongoza....
 
Unauliza majibu .... .. mshauri wake mkubwa ni yule Mnyarwanda huoni hajali maslahi ya wabongo.
 
Unauliza majibu .... .. mshauri wake mkubwa ni yule Mnyarwanda huoni hajali maslahi ya wabongo.
yupi huyo....Mnyarwanda anakuaje mshauri wa rais TZ?...unless awe kapewa uraia TZ...kama yule professor wa UDSM (zamani)aliyepewa uwaziri kule Rwanda(baada ya kuwa raia wa Rwanda lakini)....issue za kumshauri rais zinahitaji uzalendo wa hali ya juu....otherwise unaweza ukaiuza nchi kabisa....Ni sawa na issue za hawa TISS...wengi uzalendo umewashinda...ndo maana mambo mengine tunashangaa yanavyofanyika...
 
Ndio maana nikasema Kupanga ni Kuchagua,
Upo Sawa kwenye Kuchagua,
Ni kweli tuangalie zaidi Watu au Viongozi tunaowachagua,
Swali Je kwa wale wanaojenga Mitandao ya Kuchaguliwa kwa Njia za Panya?? Utawafanyaje ???
Mimi nafikiri kama sisi Wananchi tungekuwa na Utamaduni na Mila za Kuwawajibisha Viongozi Wabadhilifu, Wasiofuta Sheria na Katiba yetu, Wasiofanya Siasa Safi, tungefika Mbali zaidi ya Hapa tulipo.

..siyo kwamba wanaitumia vibaya ridhaa waliyopewa na wananchi??...anyway....mimi nadhani tuangalie zaidi ni watu gani tunawachagua kutuongoza....
 
ushauri kama yalivyo maoni yako hapo juu yanaweza yakakubaliwa au kukataliwa kulingana na umuhimu wake wakati uliopo na ujao.

Ushauri ulio makini zaidi ule unaotumia tafiti/takwimu kutatua matatizo na sio ule wa maneno matupu ambao ni rahisi kusahau,kupuuzia au kuonekana kama ni jambo la mzaha au kuchekesha.

Kwa mfano,wewe ni kitu gani kilichokufanya kuandika uzi huu kwa kufananisha rais wetu na yule wa marekani kiushauri?
 
Inaonekana wewe unafaa mzee jitokeze hadharani huenda ukawa mshauri wake mzuri,kwanini ujifiche humu ndani jf na umesema sio siri.
 
jk ni comedian urais ni ajali aliyokutana nayo katika maisha, ni ngumu sana kumshauri mtu mwenye comic mind, juzi alikuja na funny story ya itikafu, sijui itikafu ni kitu gani?
 
mkuu kumbuka hata ile presentation ya mulugo haikuandikwa zimbabwe ila yeye akasema zimbabwe.
Yaani this is too much haiwezekani hapa kuna jambo sio bure . Ni kina nani hao wanamfanyia kusudi hii. Yaani kila kukicha akitoa hotuba tu basi tegemea kuna mambo utayatilia mashaka au kuna watu wanataka kumfedhehesha.
 
Ukweli ni kwamba Rais na washauri wake sidhani kama wanafanya kazi kwa ulegevu bali ni fikra zetu zinatutuma hivyo. Sitetei bt hakuna institution yoyote duniani inayofurahia matatizo yaliyopo nchi mwao. NDUGU zangu tuelewe kwamba matatizo yaliyopo nchini mwetu ni mengi na kamwe hayawezi kumalizwa kwa miaka kumi tu. Fikiria kwa nchi ambazo zimeendelea tumeshuhudia kukiwepo na malalamiko ya mambo kadhalika kama ajira, huduma za afya,mishahara midogo,nyumba ije iwe Tanzania jamani? Tukiunganisha nguvu kwa pamoja TUNAWEZA.

CHAHGES NI MIMI, NI WEWE NA YULE.........GOD BLESS TZ
 
ushauri kama yalivyo maoni yako hapo juu yanaweza yakakubaliwa au kukataliwa kulingana na umuhimu wake wakati uliopo na ujao.

Ushauri ulio makini zaidi ule unaotumia tafiti/takwimu kutatua matatizo na sio ule wa maneno matupu ambao ni rahisi kusahau,kupuuzia au kuonekana kama ni jambo la mzaha au kuchekesha.

Kwa mfano,wewe ni kitu gani kilichokufanya kuandika uzi huu kwa kufananisha rais wetu na yule wa marekani kiushauri?
..kwanza sijamfananisha rais wetu na wa marekani....maana huwezi kuwafananisha....Nilichofanya ni kuainisha utaratibu mzuri walionao wenzetu (wala si marekani pekee)wenye lengo zuri tu la kuhakikisha rais hapindishi mambo...na anakua kwenye mstari kimaamuzi.....ni utaratibu tu nimezungumzia.
..Pili...suala la kufanyia utafiti ushauri haliitaji utafiti kwani liko wazi....kwamba kuna sehemu marais wana washauri...na hata hapa tz nimetoa mfano wa huko nyuma.....pale ambapo marais walikua na official presidential advisors on various issues.....nikitolea mfano Prof.Lipumba kuwa mshauri wa mzee Mwinyi....I wonder what makes you query this reality....unless you want to diverge from the issue....
 
Washauri wa dhaifu mrisho kikwete
1)Livingston lusinde(mwenyekiti)
2)nape nnauye
3)kigwangalla hamisi
4)mgwillu nchemba
5)...................!!!
 
...labda tupanue mjadala...maana kama alivosema kiranga nyuma...watanzania ndio wakujilaumu kwa kuwa hapa tulipo....maana sisi ndio tunaopiga kura kumchagua rais....labda sasa tujadili hii mada katika muktadha wa yale mambo makubwa manne tunayohitaji kama nchi ili tusonge mbele....kwa maana ya WATU,Ardhi,siasa safi na UONGOZI BORA...hapa tukisisitiza dhana ya watanzania ni WATU gani na UONGOZI WETU ni wa aina gani??....maana hakika lazima tujitathmini kama watanzania....sisi tukoje?????
 
Ukweli ni kwamba Rais na washauri wake sidhani kama wanafanya kazi kwa ulegevu bali ni fikra zetu zinatutuma hivyo. Sitetei bt hakuna institution yoyote duniani inayofurahia matatizo yaliyopo nchi mwao. NDUGU zangu tuelewe kwamba matatizo yaliyopo nchini mwetu ni mengi na kamwe hayawezi kumalizwa kwa miaka kumi tu. Fikiria kwa nchi ambazo zimeendelea tumeshuhudia kukiwepo na malalamiko ya mambo kadhalika kama ajira, huduma za afya,mishahara midogo,nyumba ije iwe Tanzania jamani? Tukiunganisha nguvu kwa pamoja TUNAWEZA.

CHAHGES NI MIMI, NI WEWE NA YULE.........GOD BLESS TZ
Ni kweli wewe hauoni au..........!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom