Nani unapenda awe rais wako kati ya hawa?

Nani unapenda awe rais wako kati ya hawa?

Mama,nandy, sima,rose,iryn, babu,bibi,anko, ba G,ba D,ma D,ma G,aunty,bibi wee,ney,happy, fei....wote kura kwa lowassaaaaaaa kiufupi ukoo wetu na wakwe na ndgu wote ni team mabadilikoo
 
Hakuna mwingine bana zaid ya Edo Lowasa!!! Au unataka kumfananisha na huyo mlevi Pombeeeeeee!!!
 
Huyu lowasa sasa amekuwa tatizo kwa utawala uliopo,maana jana nilikuwa nakatiza mtaani maeneo fulani nikakuta watoto wanacheza mpira wa miguu,timu moja ilikuwa inaitwa lowasa,nyingine magufuli,nikasikia wale team magufuli wanalalamika eti tumefungwa hii mechi kwasababu jina la timu yetu lina gundu....hahahaa October 25 ifike jamani,Lowassa umekuwa sheeedah huku mtaani.
 
Back
Top Bottom