Nani unapenda awe rais wako kati ya hawa?

Nani unapenda awe rais wako kati ya hawa?

SUMMARY

Kwa mahesabu ya haraka haraka, mpaka kufikia page hii ya 6, No: 101, kura zimekaa hivi:

Maguf = 6

Lowas = 78

Ann = 3

Zilizo haribika = 11.

Tuendelee zaidi sijui thread hii itafungwa tarehe ngapi.
 
Kwa vile yuko ukawa basi hamna nyingine namna siwezi kupenda kikaragosi chochote cha ccm
 
Imefikia mahali sehemu yotote ukikusamya watu angalau 20 wapige kura ya maoni. Lowasa is always more than 75%
 
sasa kweli somo limeeleweka, kama raia wa Tanzania wangekuwa wanafunzi basi kama mwalimu kwenye remarks naandika taught and well understood, LOWASSSSSSS... AAAAAAAA........
 
Back
Top Bottom