Nani unapenda awe rais wako kati ya hawa?

SUMMARY

Kwa mahesabu ya haraka haraka, mpaka kufikia page hii ya 6, No: 101, kura zimekaa hivi:

Maguf = 6

Lowas = 78

Ann = 3

Zilizo haribika = 11.

Tuendelee zaidi sijui thread hii itafungwa tarehe ngapi.

Utafiti wako uko biased...wanaopiga kura hawana accecc na jf....
 
Ondoka zako hapa ... mimi sijakuambia nimefanya utafiti, au hujui hata maana ya utafiti nini?

Nilichokifanya mimi ni hesabu ya darasa la pili tu, kwamba nimejumlisha wote walioandika Maguf, Lowas na Anna.

Eti utafiti !!!!!!! Matokeo ya shule gani hizo???
 
SUMMARY

Kwa mahesabu ya haraka haraka, mpaka kufikia page hii ya 6, No: 101, kura zimekaa hivi:

Maguf = 6

Lowas = 78

Ann = 3

Zilizo haribika = 11.

Tuendelee zaidi sijui thread hii itafungwa tarehe ngapi.
Acha kujidanganya na hizo figure hapo juu, humu JF wamejaa 4U Movement wengi sana. Mtaji wa kura za CCM haupo JF. Hao 4U Movement hawatoshi kumpeleka FISADI ZEZETA ikulu. CCM ina mtaji wa kura na wapiga kura wa CCM wengi wao hawapo mitandaoni.
 
Mtaji wa kura wa ccm hawapo jf kwa sababu ni wale wa tshirt na kofia na kanga ambapo wengi wao ni wazee hawajui nitandao
 
Nashukuru kwa kulitambua hilo, pia kuna wale ambao wapo CHADEMA na hawamtaki fisadi zezeta + kuna wengine hawana chama chochote na kwao upinzani ni kama vurugu tu + Wana CCM kindaki ndaki = Ushindi kwa MAGUFULI. Wataisoma namba. #HapaKaziTu
 
Back
Top Bottom