Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,421
- 96,781
Japo Nina ratiba tight, ila Niki enda sehemu Niki peruzi namcheki trending musicNikikuambia hizo nyimbo sizijui utaona nakutania.. Next month nitarudi mjini 😁
Japo Nina ratiba tight, ila Niki enda sehemu Niki peruzi namcheki trending musicNikikuambia hizo nyimbo sizijui utaona nakutania.. Next month nitarudi mjini 😁
Series ya godfather of Harlem Usha iangalia??Pamoja sana mdogo wangu 🙏💪
Kijana,mimi napenda kuangalia mitetemeko ya shemeji yako na huwa akiwa karibu namfuata kila kona ya nyumba nyuma nyuma ,sipendi uzito wa mwili na akili ni kupunguza tu 😅.Pamoja sana kaka, you have been a truly brother of mine.
Vipi godfather series Usha iangalia??
Familia ime pata hasara, Yani tuli uza ng'ombe tuka peleka ng'ombe shule🤓🤣Kijana,mimi napenda kuangalia mitetemeko ya shemeji yako na huwa akiwa karibu namfuata kila kona ya nyumba nyuma nyuma ,sipendi uzito wa mwili na akili ni kupunguza tu 😅.
Hizo vitu nyingine nakuachia wewe.
Family gani hiyo? Sikusoma na wala hatuna mali yenye thamani kubwa kama ng'ombe.Familia ime pata hasara, Yani tuli uza ng'ombe tuka peleka ng'ombe shule🤓🤣
Ume kazana kulisha toto ya Watu, ngoja siku ipate sponsor zaidi yako uta lia na kusaga meno yako🤣Family gani hiyo? Sikusoma na wala hatuna mali yenye thamani kubwa kama ng'ombe.
Huu uzi wa daktari mahaba ,usilete story zako nje ya mada.😅
Wewe ndo ng'ombe yenyewe 🤣🤓Family gani hiyo? Sikusoma na wala hatuna mali yenye thamani kubwa kama ng'ombe.
Huu uzi wa daktari mahaba ,usilete story zako nje ya mada.😅
Mfike kuvunja ndoa.Ume kazana kulisha toto ya Watu, ngoja siku ipate sponsor zaidi yako uta lia na kusaga meno yako🤣
Haujasema nna takko....nimelia sanaNnakuwish san hujajua tu
Nahis ni mwembamba kiasi afu mrefu
Umenyoa huna rasta😂
Ndoa ipi 🙄🤣, unaota nini??Mfike kuvunja ndoa.
😂😂😂😂Daah😂Haujasema nna takko....nimelia sana
Nafikiri wewe ndio unaota na jua kali hili.Ndoa ipi 🙄🤣, unaota nini??
Dude acha kuropoka basi 🤣, hope uko poa broNafikiri wewe ndio unaota na jua kali hili.
Salama kabisa, say "hello" kwa familyDude acha kuropoka basi 🤣, hope uko poa bro
Family ipi hiyo??Salama kabisa, say "hello" kwa family
Ndugu,jirani,marafiki au hata Mrs ng'ombe.Family ipi hiyo??
Kaka home Sija enda Nina week 1 Sasa, mambo ni mengi.Ndugu,jirani,marafiki au hata Mrs ng'ombe.
Kijana,umekua sasaKaka home Sina enda Nina week 1 Sasa, mambo ni mengi.
Afu Msalimie pia Mrs bichwa kubwa🤣
Sio kupata kwa wakati,wewe hupati kabisa ndio maana una hasira.Kijana,umekua sasa
Vuta kabinti hapo akusaidie kutoa hasira,maneno machafu,kukera watu
Ndio maana mkorofi sana kumbe ni hasira za kutopata ile kitu kwa wakati.
Kwani kuoa ni lazima au option tu??.Kijana,umekua sasa
Vuta kabinti hapo akusaidie kutoa hasira,maneno machafu,kukera watu
Ndio maana mkorofi sana kumbe ni hasira za kutopata ile kitu kwa wakati.