Ahahah..hata sisi tuliliona hilo na ni kitu kilichotufanya karibuNitafanyaje zaidi ya kukubali tu!😂
Japo muandiko uleule pen tofauti
😂😂😂shida ni kudanganywaUnantishia tu, nshakuambia npunguzie hiyo gharama wala hautaki ....😁
Jama jama jamaaa😂😂.hii id naipiga chin si muda 🤣🤣Mimi posta ndo mitaa yangu
Halafu Ivan Stepanov kuna kipindi nilihisi upo mitaa ya jengo moja refu hiviii
Hiyo ofisi siku ya jumatano mchana wanakula kuku🤔
Nimepatia?Jama jama jamaaa😂😂.hii id naipiga chin si muda 🤣🤣
Bhasi ni simple 😁, akupe direction utuoneMimi posta ndo mitaa yangu
Halafu Ivan Stepanov kuna kipindi nilihisi upo mitaa ya jengo moja refu hiviii
Hiyo ofisi siku ya jumatano mchana wanakula kuku🤔
Huwa unajichanganya sana 😁😁Jama jama jamaaa😂😂.hii id naipiga chin si muda 🤣🤣
Yeye akiniambia kua yupo ofisi ambao jumatano wanakula kuku basi nishamjua!!
Ivan Stepanov Eyce akireply mmoja mwingine anapotea kwa dk kadhaaPosta bhana 😁😁 kuna mtu nilimzingua kuwa nawajua watu wa ofisi yake na baadhi za jirani, akaanza kuniuliza kama mimi ni muuza matunda au wale wasambaza chakula 😁😁
Wewe imani yako ni ndogo sana..bado tu unasoma mchezo? 😂Ivan Stepanov Eyce akireply mmoja mwingine anapotea kwa dk kadhaa
Kwamba network inasumbua kulog in and out😂
Na mimi almanusura nimuulize ephen_ wewe ndio supplier??Posta bhana 😁😁 kuna mtu nilimzingua kuwa nawajua watu wa ofisi yake na baadhi za jirani, akaanza kuniuliza kama mimi ni muuza matunda au wale wasambaza chakula 😁😁
Hapana ephen_Mchezo nishauelewa, nambie basi kama nimepatia jumatano huwa mnakula kuku🙂
Mimi napendelea mara nying kula nje ya ofisi.Mchezo nishauelewa, nambie basi kama nimepatia jumatano huwa mnakula kuku🙂
Location yangu ni adjucent to Ttcl HqMchezo nishauelewa, nambie basi kama nimepatia jumatano huwa mnakula kuku🙂
Itakua nimechanganya mafile.Location yangu ni adjucent to Ttcl Hq
Nadhani mii ndo mhanga wa kudanganywa 😹😂😂😂shida ni kudanganywa
Sasa madam SI wa juzi juzi au generation z, mbona mna tuonea hivyo🤓Mimi ndo nimejiekea hivyo kua watu wengi wa kweli ni wale joined 2017 kurudi nyuma tuliobaki wengi wasanii.
Aisee 🤣🤓Posta bhana 😁😁 kuna mtu nilimzingua kuwa nawajua watu wa ofisi yake na baadhi za jirani, akaanza kuniuliza kama mimi ni muuza matunda au wale wasambaza chakula 😁😁