Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,472
- Thread starter
- #581
IB nadhani tatizo linaweza kuwa kwenye approach yako.
Kama hutaki kujihusisha na mtu tena, wewe ndio ukae mbali nae badala ya kumwambia yeye akae mbali na wewe. Especially kama hajakukosea chochote.