Mods piga ban wote wanaofanisha member wapya na wa zamani.
wewe ni yule yule Mwita25 na Amwit52 it is the same name usituchanganye kwa Utoto wako nenda kanyonye maziwa ya mama. Nakuona bado hujakua kiakili.Mimi ndio member bora, mgeni wa jf.
umeuliza swali,mimi nimejibu nampenda Mwita25,Mwita25 ni memba pia humu Jfaaarghhhhhhhhhhhhhhh! mmenichosha sasa. Mwenye hilo jina aje hapa aseme ukweli.
i love u all.
najipenda mwenyewe ANGEL MSOFFE
Hahahahaha......dah!! Utawatambua kwa matendo!Umechanganya ID hapa! Kumbuka hapa unatumia MSHUNGA NATIA na siyo ANGEL MSOFFE
wewe una ´id´ mbili, acha kutuzuga hapa!mimi ndio member bora, mgeni wa jf.
hapo kwenye namba mbili mweke tu Rejao
najipenda mwenyewe ANGEL MSOFFE
Umechanganya ID hapa! Kumbuka hapa unatumia MSHUNGA NATIA na siyo ANGEL MSOFFE
i love u too. mmwaaa...!!. Mia
umechanganya id hapa! Kumbuka hapa unatumia mshunga natia na siyo angel msoffe
hahahahaha......dah!! Utawatambua kwa matendo!