sema usiogope sema....ewe mwali sema usiogope sema!Mi niko comfortable na watu wote wa familia yetu, hasa shangazi.
Uncomfortable? sijui mtu binafsi, ila kule jukwaa la siasa au International
Sometimes I make comments that people don't like, but najua sheria za JF
I am not worried about Bans.
Kuna mtu fulani mchokozi, najua atanishababishia Ban one day, huyo namuogopa.
Kuna zawadi kwa watakaotajwa/taja?
Ah, ngoja nikae kimya tu. Kuna siku alinichokoza nikandika post kwa hasira,sema usiogope sema....ewe mwali sema usiogope sema!
Naona uko kimaslahi zaidi.
I LOVE YOU ALL
I HATE NO BODY.:welcome:
message sent sio?Ah, ngoja nikae kimya tu. Kuna siku alinichokoza nikandika post kwa hasira,
then nikaona yeye anafurahia sana akiniona na hasira, he will just enjoy it.
Nikafuta post na kumweka ignore list. He is still there. Yeye anajijua. The MTHFCKR!!!
Maslahi yenyewe yapi sasa?
Kulipuana na kufagiliana?
Marahaba mjukuu,shikamoo babu asprin..
ndugu yangu Aspirin,sikubaliani na wewe.Hebu niambie ,ni wangapi humu jf unadiriki kuwambia kuwa 'umewazalisha mapacha watatu'? you see? hao unaoweza kuwatania kihivyo ndo nasema you are comfortable around them ( na si lazima mnafahamiana physically) na si kila mwana jf.I LOVE YOU ALL
I HATE NO BODY.:welcome: