Nani sio fisadi?

Nani sio fisadi?

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
97,094
Reaction score
136,664
Ni nani kwenye safu ya uongozi Tanzania asiye fisadi? Maana karibu kila kukicha kuna tuhuma za mafisadi wapya.

Na vipi kuhusu JF? Mafisadi mpo?
 
Mimi ndiyo fisadi mkubwa mkuu.nawafisadi wote waliokuwa kwenye familia yangu na mimi mwenyewe najifisadi,ili niweze kuhumili haya maisha magumu,ili niweze kusomesha watoto,ili niweze kutenga hela za matibabu na mengi.najiibia mwenyewe mlo mmoja ili ni channel pesa zangu sehemu nyingine,ili watoto wasifukuzwe shule.sasa hapa fisadi mkubwa ni nani?jibu unalo mkuu.
 
Ni nani kwenye safu ya uongozi Tanzania asiye fisadi? Maana karibu kila kukicha kuna tuhuma za mafisadi wapya.

Na vipi kuhusu JF? Mafisadi mpo?


Nyani, Labda baadhi ya viongozi wa kidini.
 
Viongozi wasiokuwa Mafisadi....
Mizengo Pinda, Sitta, Mama Kilango, Mwakyembe...na
Kikwete ambaye alikuwa lakini sio tena na hajui atatoka vipi!..
 
Viongozi wasiokuwa Mafisadi....
Mizengo Pinda, Sitta, Mama Kilango, Mwakyembe...na
Kikwete ambaye alikuwa lakini sio tena na hajui atatoka vipi!..

Mkandara hujatenda haki kutomtaja mzee wa mikasi Shein, Sitta alinunua dawa za 2 Million kwenye pharmacy ya nduguye ni ufisadi huo!
 
JF Mtandao ni mafisadi wa JF.........

CCM Mtandao ni mafisadi wa Tanzania yetu........
 
JF Mtandao ni mafisadi wa JF.........CCM Mtandao ni mafisadi wa Tanzania yetu........

ahaaaaaaaaaaaaaaa hawa JF Mtandao ndio wakina nani ?we dare to talk open here,aren't we!?
 
Mimi sio fisadi mkuu. Mimi ni safi na sijawahi kuwa fisadi. Nachukia mafisadi na ufisadi wenyewe.
 
Back
Top Bottom