Lakini huyu bwana amezungumzia "mtu" kwa maana ya binadamu. Kumhusisha Kristo hapa ni dharau kwa utukufu wa Mungu.
Mi role model wangu ni "watu wasiojulikana"
Natamani siku moja nikutane nao wanipe mbinumbinu...
Kuna watu ningekuwa nshawahamishia ahera, sema nashindwa kwakuwa najulikana...
Sipendi kuona watu wenye mioyo ya kikatili na wenye roho mbaya zilizopitiliza wakiendelea kuwatesa watu wasio na hatia hapa duniani... kwa sababu tu ya chuki za kisiasa.
Hapa najua
Otorong'ong'o ataniunga mkono kwa mara ya kwanza.
Cc: wakatoliki wabobezi
Sky Eclat Kaizer (choir master)
snowhite mwalimu wa ukweli.