kerubi afunikaye
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 1,183
- 1,057
"Wewe Bwana Mungu wetu,jinsi lilivyo kuu na tukufu Jina lako DUNIANI KOTE.
Wewe umeuweka utukufu wako mbinguni,vinywani mwa watoto wachanga na wanyonyao umeiweka misingi ya nguvu,kwa ajili yao wanaoshindana nawe,uwakomeshe adui na kujilipiza kisasi.
Nikiziangalia mbingu zako,kazi za mikono yako, mwezi na nyota ulizoratibisha, mtu ni kitu gani hata umkumbuke na binadamu hata umwangalie?
UMEMFANYA MDOGO PUNDE KULIKO MUNGU,UMEMVIKA TAJI YA UTUKUFU NA HESHIMA, UMEMTAWAZA JUU YA KAZI ZA MIKONO YAKO, UMEVITIA VYOTE CHINI YA MIGUU YAKE..."(ZABURI 8).