malkiory
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 270
- 24
- Thread starter
- #61
Wewe uliyetoa mada hii huna tofauti na brek za mbuzi, kwa maana kiingereza ni luga tu kama luga nyingine, haina maana kuwa kuongea kiingezeza umesoma sana, tizama HU JIN TAO wa china hajui hata how are you lakini unaonaje mambo anavyoyapeleka? mpaka dunia inatingishika. acha ushamba na ujinga. na kama hujui maana ya breki za mbuzi waulize marafiki zako!
Kama kuna wajinga duniani basi nadhani wewe unaongoza. Aidha unafanya makusudi kuongelea mada ambayo sikuongelea au ufinyu wa uelewa wako ndiyo unakufanya uwe mnyonge/inferior hadi unakimbilia kutukana. Jifunza kuwa mstaarabu