malkiory
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 270
- 24
Kuwa jaji kwa kusikiliza mahojiano baina yao hapa: www.malkiory-matiya.blogspot.com (MNYONGE MNYONGENI LAKINI HAKI YAKE MPENI!)
Mimi kwa mtazamo wangu naona SLAA YUKO JUU, kwani anaongea lugha zaidi ya 5 kama vile Kitaliano, Kijuruman, Kiingereza kifaransa na kiholanzi mpaka hapo mpooooo!!
Mkuu kama unakumbuka hiyo clip au hayo mahojiano, kwa hisani yako naomba link mkuu.Umeshawahi kusikiliza mahojiano ya Mwanakijiji na Slaa yaliyowekwa hapa JF? Jamaa anachapia Kiswahili mpaka inataka kutapisha.
Ni ukweli tu, hamna fanaticism hapa.
I don't mean to disqualify him because of that, but as long as we are talking about their linguistic abilities (which tells you something about the intellectual ability, even as it cannot be used as a litmus tes) let's tell it as it is.
Umeshawahi kusikiliza mahojiano ya Mwanakijiji na Slaa yaliyowekwa hapa JF? Jamaa anachapia Kiswahili mpaka inataka kutapisha.
Ni ukweli tu, hamna fanaticism hapa.
I don't mean to disqualify him because of that, but as long as we are talking about their linguistic abilities (which tells you something about the intellectual ability, even as it cannot be used as a litmus tes) let's tell it as it is.
It's the content that counts!
this is a battle between ccm and cdm, christianity and lslam
Rais wa China hajui kiingereza,,uchumi wao una rank # ngapi?
Unless you want to look at things from a neo-colonialist perspective, speaking better English (ukali wa kimombo) does not necessarily reflect one's intelligence! Nawasilisha tuu Mkuu.
In the Jimmy Carter vs Ronald Reagan presidential interview, Carter clearly had more of an intellectual rigor, but Reagan was clearly the better showman. In the end the people chose the showman over the intellectual.
I don't mean to disqualify him because of that, but as long as we are talking about their linguistic abilities (which tells you something about the intellectual ability, even as it cannot be used as a litmus tes) let's tell it as it is.
Na akishajua, iweje? Naomba jibu.Yeye kasema anataka kujua nani amejua umombo zaidi...
Exactly how?