Nani mwoga zaidi?

Ambassador

JF-Expert Member
Jun 2, 2008
933
75
Siku mtu na mkewe walikuwa wanabishana ni nani muoga
kuliko mwenziwe,mume anasema mke muoga na mke anasema
mume muoga ndipo walipoamua kuwauliza watoto wao

Baba =Naomba kuwauliza ni na nani kati ya mimi na mama yenu mwoga zaidi
Mtoto 1=mama mwoga sababu anaogopa hata kutoka nje usiku wakati baba akiwa amesafiri
Mtoto 2=Baba ndio muoga zaidi maana anaogopa kulala peke yake mama kama siku akiondoka anamuita msichana wa kazi analala nae.
 
hapa muoga ni mtoto..!!
kwa nini hakuwahi kuyasema hayo zamani hadi baba leo ameuliza???
 
Siku mtu na mkewe walikuwa wanabishana ni nani muoga
kuliko mwenziwe,mume anasema mke muoga na mke anasema
mume muoga ndipo walipoamua kuwauliza watoto wao

Baba =Naomba kuwauliza ni na nani kati ya mimi na mama yenu mwoga zaidi
Mtoto 1=mama mwoga sababu anaogopa hata kutoka nje usiku wakati baba akiwa amesafiri
Mtoto 2=Baba ndio muoga zaidi maana anaogopa kulala peke yake mama kama siku akiondoka anamuita msichana wa kazi analala nae.

iishhhh...maswali mengine si ya kuuliza watoto jamani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom