Lizaboni
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 33,894
- 20,372
This is too much. Tumewachoka CHADEMA kufanya kila kitu ni biashara.
Kuna taarifa nimezipata ambazo kwa hakika zimenisikitisha sana. Kumbe kitendo cha kutolewa tangazo la kuzuia mikusanyiko Mwanza na kufunguliwa kwa kesi ya kupinga katazo hilo ilikuwa ni biashara ya akina Mbowe and the Company. Mchezo ulikuwa hivi, Baada ya kamanda Mawazo kuuawa ( wauaji inasadikika ni miongoni mwa vijana wa Red Brigade), ulifanyika mkakati wa makubaliano baina ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza na Freeman Mbowe.
Kwamba, baada ya CHADEMA kutangaza ratiba ya kuuaga mwili wa Mawazo, RPC atoe tangazo la kukataza mikusanyiko yoyote kwa kisingizio eti ni ugonjwa wa kipindupindu. Kwamba, baada katazo hilo la RPC, CHADEMA kwa mgongo wa familia ya Marehemu waende Mahakamani na kufungua kesi. Ilitarajiwa kuwa kesi hiyo ingechukua muda wa si chini ya siku 10 ili deal likamilike.
Baada ya hukumu ambayo ilitarajiwa ushindi kwa familia ya Mawazo na CHADEMA, Viongozi wa CHADEMA watafungua kesi ya madai kudai fidia kutokana na kutumia gharama nyingi kuwaweka viongozi wa CHADEMA jijini Mwanza wakisubiri hukumu hiyo.
Pamoja na hayo, mtakumbuka kuwa kuna taarifa ziliwahi kutolewa humu kwamba CHADEMA walitenga zaidi ya milioni 400 kwa ajili ya msiba huo. Pia taarifa hizo zilidai kuwa kiasi cha shilingi milioni 200 kilitolewa na Lowasa na hivyo kufanya kiasi chote ambacho viongozi wa CHADEMA waliweka mfukoni ni milioni 600.
Hata hivyo, taarifa za chini chini zinadai kuwa, fedha zilizotumika ni shilingi milioni 72 tu na kiasi kingine hakijulikani kimeenda wapi.
Sasa imetolewa kauli kuwa CHADEMA watadai fidia. Kwa wenye akili tunajua nini kinaendelea. Ila ni vema umakini ukawepo vinginevyo itawatokea puani. Kama mlikubaliana kuwa ni familia ya Mawazo ndio wafungue kesi, inakuwaje kwenye kudai fidia CHADEMA mnaenda kichwa kichwa? Kwa nini msimtumie huyo huyo baba mdogo kufungua kesi ya kudai fidia?