Nani mwenye haki ya kudai fidia baina ya Baba Mdogo wa Mawazo na CHADEMA?

Lizaboni

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
33,894
20,372
This is too much. Tumewachoka CHADEMA kufanya kila kitu ni biashara.

Kuna taarifa nimezipata ambazo kwa hakika zimenisikitisha sana. Kumbe kitendo cha kutolewa tangazo la kuzuia mikusanyiko Mwanza na kufunguliwa kwa kesi ya kupinga katazo hilo ilikuwa ni biashara ya akina Mbowe and the Company. Mchezo ulikuwa hivi, Baada ya kamanda Mawazo kuuawa ( wauaji inasadikika ni miongoni mwa vijana wa Red Brigade), ulifanyika mkakati wa makubaliano baina ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza na Freeman Mbowe.

Kwamba, baada ya CHADEMA kutangaza ratiba ya kuuaga mwili wa Mawazo, RPC atoe tangazo la kukataza mikusanyiko yoyote kwa kisingizio eti ni ugonjwa wa kipindupindu. Kwamba, baada katazo hilo la RPC, CHADEMA kwa mgongo wa familia ya Marehemu waende Mahakamani na kufungua kesi. Ilitarajiwa kuwa kesi hiyo ingechukua muda wa si chini ya siku 10 ili deal likamilike.

Baada ya hukumu ambayo ilitarajiwa ushindi kwa familia ya Mawazo na CHADEMA, Viongozi wa CHADEMA watafungua kesi ya madai kudai fidia kutokana na kutumia gharama nyingi kuwaweka viongozi wa CHADEMA jijini Mwanza wakisubiri hukumu hiyo.

Pamoja na hayo, mtakumbuka kuwa kuna taarifa ziliwahi kutolewa humu kwamba CHADEMA walitenga zaidi ya milioni 400 kwa ajili ya msiba huo. Pia taarifa hizo zilidai kuwa kiasi cha shilingi milioni 200 kilitolewa na Lowasa na hivyo kufanya kiasi chote ambacho viongozi wa CHADEMA waliweka mfukoni ni milioni 600.

Hata hivyo, taarifa za chini chini zinadai kuwa, fedha zilizotumika ni shilingi milioni 72 tu na kiasi kingine hakijulikani kimeenda wapi.

Sasa imetolewa kauli kuwa CHADEMA watadai fidia. Kwa wenye akili tunajua nini kinaendelea. Ila ni vema umakini ukawepo vinginevyo itawatokea puani. Kama mlikubaliana kuwa ni familia ya Mawazo ndio wafungue kesi, inakuwaje kwenye kudai fidia CHADEMA mnaenda kichwa kichwa? Kwa nini msimtumie huyo huyo baba mdogo kufungua kesi ya kudai fidia?
 
Kula limao, wewe unayelalamika una haki gani? Wewe ndiye mwenye haki ya kulalamika? Au Baba mdogo wa marehemu?

Shut up and keep quite. Hayakuhusu
 
Walio mua mawazo ni nyie ccm ....na hii damu itawatafuna na polisi wanatakiwa wawashughulikie ila kwasababu polisi ni idara ya ccm hawawezi kuwakamata kabisa....pili acha kushabikia mauaji ..hii ni roho mbaya.....tatu gharama ya kesi ni lazima walipe walioshindwa kesi ...ambao ni nyie wauaji
 
Kwa utumbo huu, replay hazitozidi 40, kwa Lizaboni ninayemfahamu.

Njoo na mada mpya kijanaa
 
Last edited by a moderator:
Kula limao, wewe unayelalamika una haki gani? Wewe ndiye mwenye haki ya kulalamika? Au Baba mdogo wa marehemu?

Shut up and keep quite. Hayakuhusu
Nilijua tu kuwa swali hili hakuna nyumbu atakayeweza kulijibu
 
Kwa utumbo huu, replay hazitozidi 40, kwa Lizaboni ninayemfahamu.

Njoo na mada mpya kijanaa
Kama mtajibu swali la msingi hakuna haja ya kuendelea na mjadala. Nataka tu mjibu ni nani mwenye haki ya kufungua kesi ya madai baina ya baba mdogo wa Mawazo na CHADEMA
 
lizabon;your a dead body,f**k you....!!!
 
kama hukumu ya mahakama ilitaja kua mleta maombi alipwe gharama za shauri, basi yeye ndio mwenye uhalali wa kupeleka maombi ya gharama zake, mtu ambae hakua sehemu ya shauri hana haki ya kudai gharama zitokanazo za shauri lililoamuliwa.
 
Kama mtajibu swali la msingi hakuna haja ya kuendelea na mjadala. Nataka tu mjibu ni nani mwenye haki ya kufungua kesi ya madai baina ya baba mdogo wa Mawazo na CHADEMA

Unajua huwa nyie wauji hamna haja ya kuliza wakati mnajua mwenye haki anatafsiriwa na mahakama.......
 
kama hukumu ya mahakama ilitaja kua mleta maombi alipwe gharama za shauri, basi yeye ndio mwenye uhalali wa kupeleka maombi ya gharama zake, mtu ambae hakua sehemu ya shauri hana haki ya kudai gharama zitokanazo za shauri lililoamuliwa.
Ahsante Mkuu kwa kujibu kisheria. Sasa CHADEMA na kukurupuka kwao sijui nini kitawatokea wakienda huko Mahakamani
 
This is too much. Tumewachoka CHADEMA kufanya kila kitu ni biashara.

Kuna taarifa nimezipata ambazo kwa hakika zimenisikitisha sana. Kumbe kitendo cha kutolewa tangazo la kuzuia mikusanyiko Mwanza na kufunguliwa kwa kesi ya kupinga katazo hilo ilikuwa ni biashara ya akina Mbowe and the Company. Mchezo ulikuwa hivi, Baada ya kamanda Mawazo kuuawa ( wauaji inasadikika ni miongoni mwa vijana wa Red Brigade), ulifanyika mkakati wa makubaliano baina ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza na Freeman Mbowe.

Kwamba, baada ya CHADEMA kutangaza ratiba ya kuuaga mwili wa Mawazo, RPC atoe tangazo la kukataza mikusanyiko yoyote kwa kisingizio eti ni ugonjwa wa kipindupindu. Kwamba, baada katazo hilo la RPC, CHADEMA kwa mgongo wa familia ya Marehemu waende Mahakamani na kufungua kesi. Ilitarajiwa kuwa kesi hiyo ingechukua muda wa si chini ya siku 10 ili deal likamilike.

Baada ya hukumu ambayo ilitarajiwa ushindi kwa familia ya Mawazo na CHADEMA, Viongozi wa CHADEMA watafungua kesi ya madai kudai fidia kutokana na kutumia gharama nyingi kuwaweka viongozi wa CHADEMA jijini Mwanza wakisubiri hukumu hiyo.

Pamoja na hayo, mtakumbuka kuwa kuna taarifa ziliwahi kutolewa humu kwamba CHADEMA walitenga zaidi ya milioni 400 kwa ajili ya msiba huo. Pia taarifa hizo zilidai kuwa kiasi cha shilingi milioni 200 kilitolewa na Lowasa na hivyo kufanya kiasi chote ambacho viongozi wa CHADEMA waliweka mfukoni ni milioni 600.

Hata hivyo, taarifa za chini chini zinadai kuwa, fedha zilizotumika ni shilingi milioni 72 tu na kiasi kingine hakijulikani kimeenda wapi.

Sasa imetolewa kauli kuwa CHADEMA watadai fidia. Kwa wenye akili tunajua nini kinaendelea. Ila ni vema umakini ukawepo vinginevyo itawatokea puani. Kama mlikubaliana kuwa ni familia ya Mawazo ndio wafungue kesi, inakuwaje kwenye kudai fidia CHADEMA mnaenda kichwa kichwa? Kwa nini msimtumie huyo huyo baba mdogo kufungua kesi ya kudai fidia?

Kama kuna mtu bado anawaamini Mbowe na matapeli wenzake, akapimwe akili.
 
ifike hatua tuwe na soni...Tuheshimu meenzetu waliotangulia,sijui unapata faida gani kuhusisha msiba na mambo yenu ya siasa.
 
unataka kunipa 0713???mi situmii hizo mambo mkuu,kajipange kinondoni kule kabulini na wenzio

Hii nchi tuna safari ndefu sana hasa ukizingatia uwepo wa watu wasiokuwa na busara kama wewe, nyinyi ndio sababu Magufuli anakosa imani na baadhi ya binadamu
 
Back
Top Bottom