kitakali kiwofu
Senior Member
- Oct 3, 2013
- 173
- 24
dr slaa anakimbiza balaa.
Kama mdau wa politics unaweza changia kuwa nani mkali kutoka Group "A" kati ya LISSU VS LUKUVI?. Group "B" MWIGULU VS MNYIKA?. Piga kura yako hapo kitakachofuata tutachukua washindi wa kutoka groups and then ndo washindane.
niambie umetumia vigezo gani kuunda hayo makundi,.
Baada ya hapo nitachangia!!
humjui halafu hafai? ebu ondoa bangi zako humu JF.Huyo lukuvi na nchemba ndio akina nani mi siwajui ata kidogo by the way hawafai ata kama nikiwajua.
halafu baada ya hapo utafanya nini sasa mambo mengine bana.
Salaaaaam.
Bila upendeleo Mwigulu Lameck Nchemba ni mwanasiasa bora kwa mwaka 2013/2014. Huyu kijana ameweza kukiimalisha chama chake mara dufu kwa siasa zake clean huku zikichafuliwa na watu wachache lakini ukwel unabaki palepae kuwa ameng'ara ndani ya nchi, nje ya nchi na akiwa bungeni ameonesha kuwa yeye ni mtu makini asiyebahatisha.
Hakika ni wanasiasa wachache sana vijana wenye vision kubwa kama huyu kijana mwanzo sikuamini kama angeitendea vizuri nafasi yake ya uongozi ndani ya CCM lakini sasa nimemuelewa kuwa hashindwi kuongoza ngazi yeyote ile ndani ya chama au serikalini.
Go on Mwigulu.
mkuu mbona hamuwakubali watu wanaofanya vizuri Mwigulu hana rekodi mbaya kwa wananchi wala serikalini.Haya kapokee ujira wako kutoka kwa shetani Mwigulu. Taifa letu bado lina safari ndefu Sana !
Mavi hupendwa na nzi. Sikushangai.mkuu mbona hamuwakubali watu wanaofanya vizuri Mwigulu hana rekodi mbaya kwa wananchi wala serikalini.
Mavi hupendwa na nzi. Sikushangai.
Mkuu upo sawa kweli au umevurugwa?mkuu mbona hamuwakubali watu wanaofanya vizuri Mwigulu hana rekodi mbaya kwa wananchi wala serikalini.