Sadock Lazaro
Member
- Apr 28, 2013
- 69
- 5
Dr.slaaa
Dr W. P. Slaa our next president.
zimebaki siku 3 na masaa machache sana kukaribisha mwaka 2014, ni mwaka ambao tunatarajia vitimbi na sarakasi za kila aina kuelekea chaguzi mbalimbali za serikali za mitaa.
Sasa basi wakati tunauaga mwaka huu wa 2013 ungeambiwa utoe tuzo ya nobel kwa mwanasiasa bora wa wa tanzania kwa mwaka 2013 ungempatia nani?
Unafiki wa kichama tuache pembeni
Godbless Lema

godbless j lema. .kwasababu ya 4-0 kule arusha kwenye campaign za udiwani...au mazee mnaonaje?