Mh.L.Lusinde kafanya makubwa jimboni kwake.Mtera zamani ilikuwa inamulikia wengine lakini ssa nimetonywa jimbo lote linawaka umeme tena si mgao na pia minara waliahidi na Mwenyekiti wake 2010 kwenye kampeni ametimiza jimbo lote mitandao swafii!La mwisho kamshauri PM asiachie uenyekiti wa kikao chao,mana ingekuwa uPM ndio byebye jamani hapo barabara sijataja,afya,elimu Lusinde go go!2015 jimbo kiulaini kamanda unalichukua tena.Nimeandika maneno mengi ili wengine ambao wangehoji kwanini Mh Lusinde.Vote 4 Lusinde.