Nani mwanasiasa bora wa mwaka 2013?

Nani mwanasiasa bora wa mwaka 2013?

PRESIDENT Dr. JMKikwete. Huyu mkubwa hakuna na itachukua muda kumpata mwingine. Mwulize Kaunda
 
unajua huwezi kwenda kwenye vita vya bunduki na kisu au fimbo. Hapa ili 2mpate the best politician of the yr 2naangalia vi2 gani?.my self siwezi sema fulani iz the best wakati ni mropokaji kama mbunge wa arusha mjini.ila let tel u the best one is JOSEPH GUDLUCK OLE MEDEYE mbunge wa jimbo langu
 
Back
Top Bottom