Sugu (mwanamke -------- hubomoa Nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe na Serikali ------- ya ccm kupitia baraza la mawaziri hubomoa nchi kwa mikono yake yenyewe)
Dr. Slaa hata ukienda kumshindanisha kwa watu wa mashambani amabao hawajawahi kuona mkutano wala kiongozi wa CDM atashinda tu... huyu baba ni chaguo la Mungu kama ilivyokuwa Daniel na Mpango wa Mungu
Hakika huwezi taja siasa za nchi hii kwa mwanasiasa bora 2013 bila kumtaja Tundu Lissu, ni mwanasiasa aliyetikisa bungeni, nje ya bunge, mtetezi wa wanyonge mahakamani, kiboko ya mwanasheria mkuu, kinara mkuu katika mchakato wa katiba, bingwa wa kupambana na kesi za kubambikiza, mwanasiasa aliyemwiba hata kwa raisi wa nchi aliyebeba hotuba yake miezi michache iliyopita akiitwa mzandiki eti tu kwa kuyasemeya yale anayoyaamini kwa nguvu! hahika Tundulissu ni jembe sana mwaka 2013!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.