Nani mwanasiasa bora wa mwaka 2013?

Nani mwanasiasa bora wa mwaka 2013?

Zitto Zuberi Kabwe rocks, lakini najiuliza swali flani naona tata. Toka huu utaratibu umeanzishwa wa kupigia chapuo wanasiasa sijawahi kuona Mbowe anapata wafuasi wengi na haonekani kuwa maarufu na anaekubalika miongoni mwa wengi. Najiuliza ubora wake unatokana na kutembelea nyota za wengine ndani ya chama au? just thinking, sitopendelea malumbano.
 
Back
Top Bottom