Nani muislam? wote kimya!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani muislam? wote kimya!!!!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Mtego wa Noti, Feb 7, 2012.

 1. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #1
  Feb 7, 2012
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  Jamaa kajitoma mskitini ghafla, huku majasho
  yanamtoka!
  Mkononi kashika panga kali, Akauliza,"nani muislamu hapa,"
  watu
  kimya. Karudia tena kimya "nani muislam hapa".
  Ghafla kamnyakuwa
  jamaa alikuwa karibu na mlangoni akaondoka nae!
  Kufika nje akamwambia,
  "Samahani mkuu wangu najua nimekusumbua, naomba
  unisaidie kuchinja mbuzi"
  jamaa akachinja yule mbuzi, alipomaliza
  akasema yeye hawezi kumchuna
  mbuzi.

  Jamaa akiwa na panga lenye damu akarudi tena msikitini!
  "jamani
  nauliza humu nani muislamu?" jamaa wakamnyooshea kidole imamu wa
  siku
  ile.
  Imam akaanza kujitetea!" aah jamani mi kuswalisha siku 2 tu
  ndo
  nimekuwa muislamu sana?,hapana mimi si muislam ila nilikuwa
  najifunza
  mila za dini hii tu."
  jamaa akasema "naomba uondoe hofu naomba
  ukanisaidie kuchuna mbuzi nje!"
   
 2. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #2
  Feb 7, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  aiii walijua osama
   
 3. jchofachogenda

  jchofachogenda JF-Expert Member

  #3
  Feb 7, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Umekopy na kupest, tunga kichekesho chako.
   
 4. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #4
  Feb 7, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Tehe tehe tehe !
  Unafanya mchezo na panga wewe.
   
 5. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #5
  Feb 8, 2012
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  kweli watu wanaogopa kufa....
   
 6. Absolute

  Absolute JF-Expert Member

  #6
  Feb 8, 2012
  Joined: Jan 19, 2007
  Messages: 335
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hii ilitolewaga na Radio one katika habari nyepesi nyepesi...
   
 7. RasJah

  RasJah JF-Expert Member

  #7
  Feb 8, 2012
  Joined: Nov 5, 2009
  Messages: 697
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  nimecheka sana
   
 8. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #8
  Feb 8, 2012
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  wengine hawakuipata...ndio maana baaada ya kuipeleka kule tumeona tuilete na huku...kuna ubaya wowote?
   
 9. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #9
  Feb 8, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,918
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  Jamaa alienda kuulizia muislamu msikitini? Lolz
   
 10. mgodi

  mgodi JF-Expert Member

  #10
  Feb 8, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,307
  Likes Received: 974
  Trophy Points: 280
  inapakia 4/26mb.....
   
Loading...