Nani mtani jembe?

Nani mtani jembe?

illuh

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2014
Posts
1,254
Reaction score
701
Nani mtani jembe?
Nyumba ya mlevi mmoja nje kuna shimo kubwa la maji bila mfuniko.
Siku moja karudi usiku kalewa tooooop, mambo yakawa hivi:
MUME: Fungua mlango!
MKE: Leo sifungui! Nimechoshwa na ulevi wako.
MUME: kama hufungui najitupa kwenye hili shimo nife kabisa.
MKE. Kufa huna faida yoyote duniani!
MUME kachukua jiwe kubwa kalitupa kwenye shimo dubwi!
MKE kajifunga kanga, kafungua mlango. Ghafla mume kaingia ndani na kumfungia mke nje.
MKE: Nifungulie la sivyo nitapiga kelele majirani waje.
MUME: Piga kelele na wakija uwambie unatoka wapi usiku huu na khanga moja. Nan jembe hapo, mume au mke?
 
Inafurahisha sana. Huyo mama kazidiwa maarifa na 'mlevi'.Aangalie namna ya kujikunyata hapo nje alale.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom