Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,023
- 13,370
Kwa mpira huu ,hakuna wa kumfunga maji maji atakapopanda daraja mwaka ni!!
very gud mwanamichezo masai dada
Nimefurahi sana kuliona hili......
eti bonanza ya pombe kwanini mlikuja uwanjani halafu mnazimia,nye kweli watani mabwege.
Nawauliza wadau wa mpira au TV yoyote hapa nchini mechi hiyo, tv ipi itaoneshwa live
KiliLager.com
================
UPDATES
Full time: Yanga 0-2 Simba
Natoka uwanjani, majonzi uwiii. Dida katuangusha leo mpira anaingiza ndani badala ya kutoa nje. Yee anaijua style ya ndani tu? Inabidi afundishwe na kutoa nje.
Simba hayaa hela zenu na magoli yenu. Mnatufungia mwaka vibaya sana ....... zenu.
Hivi nawe huku ndio uko chama gani vile? Pan Africa? Hahahahahah lol!!!!
Simba wanacheza na majina zaidi kuliko ukweli. Muda mfupi ujao kila kitu kitakuwa wazi. I presume Yanga 3-1 Simba. Kiburi chote kimewekwa kwa Andunje Sserunkuma, siye tunayo ma Sserunmbo kibao, ukiondoa huyo kikosi cha mikia kilichobaki ndio hicho kilichoshinda mechi moja na kutoa sare 6 mfululizo. Yanga, mbele daima, nyuma mwiko.
lol!!!! Kumbe eeh!!!! haya bhanaaa, nawaangalia MAN C na Leicester bado 0-0, AV na WBA bado 0-0 ila AVL wamebaki 10. HT bado.
hahahaha! Rangi nyekundu haijawah niangusha ili hii furaha yangu iwe kamili ni mpka kesho, siyo kihivyo sana hapa home but my favourite is Simba.
mkuu siyo umepotea njia?Hapa ni siasa mkuuPamoja na chuki niliyokuwa nayo, sio siri leo Mimi kama mshabiki wa Simba nimefarijika sana kuona live Yanga wakipewa haki yao. Nawaomba sana muendelee hivihivi na hata uchaguzi ujao. Nimewasamehe kwa yaliyopita tugange yajayo. Nimetulia nyumbani na familia huku nikicheki mtani jembe
asante kwa info,vipi leo unachomoka?