Nani Mtani Jembe: Simba Vs Yanga

Nani Mtani Jembe: Simba Vs Yanga

Attachments

  • 1418481454979.jpg
    1418481454979.jpg
    55.4 KB · Views: 213
Hawa Simba mbona wanaanza kuleta presha hapa! Mbona tunakoswa koswa!
 
Inaumiza sana kwa Yanga, kipindi chote ambacho tuna mfadhili mwenye mafedha ya kumwaga bado tunakuwa wateja wa mnyama?
 
Yanga hivyo mnavyojirusha msitangulize mdomo mkapata mapengo.....mnafosi penalty. ....heheheiyaaaa mnalo Leo...
 
Dk 66, Mrwanda anapiga mpira langoni kukiwa na mabeki tu, Owino anaruka juu na kuokoa kwa kichwa.

Dk 65 Yanga wanamuingiza Mrisho Ngassa kuchukua nafasi ya Mliberia Sherman aliyeumia

Dk 63, Mliberia Sherman anatoka nje mwenyewe baada ya kuumia. Awali alirudi, lakini anaonekana kuzidiwa
 
Mi naona simba ni majembe cc yanga tumebaki kuwa watu.
nawasilisha.
 
Huyu isihaka ni mtanzania wadau na je yupo timu ya taifa?
 
Back
Top Bottom