Mashindano ya kipuuzi kama haya Simba ndio wanaongoza. Mtani Jembe ni upuuzi mtupu
Safari hii acha nao washinde kwenye ulevi, sisi tutashinda uwanjani.
Hawakosi sababu nyie walevi tu.Kateni rufaa refa kawalalia sana .
Taratibu ndugu, huu mfano wako hau.apply hapa. Tusiharibiane mood!
mtu anapewa kadi mbili za njano anaendelea kucheza, hii ni Tanzania tu

Kateni rufaa kweli sio haki kabisa.Kufungwa kila mara mnaweza kupewa ushindi wa mezani.
hahahaha! Hana bando!
fatilia historia ya soka wew usiropoke