Nani Mtani Jembe: Simba Vs Yanga

Nani Mtani Jembe: Simba Vs Yanga

hahahahah kitenge anawaambia mashabiki wa yanga wameganda kama wamekunywa gundi

Hahahahaaaa jamani tutauana kwa kucheka! Eti mashabiki wameganda kama wamekunywa gundi, Kitenge ana maneno sana.
Ova
 
Mpira umekwisha!poleni wanayanga,hao ndo SIMBA.Mkajipange upya!!
 
Mkimuona Pdidy mwambieni namsalimu...
 
Last edited by a moderator:
mpira umekwisha! Simba (Mnyama) 2 - Yanga (Ndala) 0. Uteja unaendelea kama kawa, wk hii nchi itakuwa kimya! Ndala huwa wanaongea sana!
 
Lazima tukubali mbumbumbumbu kwa mabonanza wanaongoza!
Turudi kwenye VPL tuone mwisho wake
 
Nani mtaaaaani jembeeeee ni simbaaaaaaaaaaaa tena kwa mara mbili mfululizoooooo
 
Nani mtani jembe? Na wote mseme simbaaaaaaaaaaaaaa!!
 
Back
Top Bottom