Prezidah
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 750
- 182
mpira umekwisha! Simba (Mnyama) 2 - Yanga (Ndala) 0. Uteja unaendelea kama kawa, wk hii nchi itakuwa kimya! Ndala huwa wanaongea sana!
Mmmmmh mbona mi niko live na mpira unaendelea?
mpira umekwisha! Simba (Mnyama) 2 - Yanga (Ndala) 0. Uteja unaendelea kama kawa, wk hii nchi itakuwa kimya! Ndala huwa wanaongea sana!
Lazima tukubali mbumbumbumbu kwa mabonanza wanaongoza!
Turudi kwenye VPL tuone mwisho wake
Lazima tukubali mbumbumbumbu kwa mabonanza wanaongoza!
Turudi kwenye VPL tuone mwisho wake
... ukisikia kula Krismas kwa tabasamu kubwa ndo huku sasa. Simba asante sana
https://www.youtube.com/watch?v=UwsRe9gh-Ww
Mmmmmh mbona mi niko live na mpira unaendelea?
Unatumia Tv au redio mbao, inachelewa!
Lazima tukubali mbumbumbumbu kwa mabonanza wanaongoza!
Turudi kwenye VPL tuone mwisho wake
Hongereni watani jembe...Ila refa katoa kali kwa kumpa Okwi Kadi 2 za njano bila red...Lol
Bado ngapi?
tanzaniabox.com/#catalog/7307/dauda-tv
Baada ya kufungwa mnaanza hamisha mawazo