Mimi binafsi naamini msichana akiamua kusema NO huku anamaanisha basi ni ngumu kwa mwaume kumsumbua
Rubii hivi kwanini mtu asiwe na msimamo?
Unamtokea mdada through mobile siku za mwanzo anaonyesha kusikitika na kulaumu kuwa unamshushia hadhi but as time goes ananyooka mwenyewe.Hiyo inaitwa 'sitaki nataka'
bro Ushimen umenikumbusha walikua wanaweka mkono kufunika macho, Afu nianguse tu sambi sa kwako we unaendeleza game tuWakati wa ujana wangu hapakua na mambo ya usumbufu kwenye kuzoza.
Sikuzile ilikua ni kupimia mida wa mlimbwende akielekea kisimani, then unamfuata huko huko, kisha ukimsemeha akasimama kwanza unamsoma usoni hadi utambue nini anamaanisha, kisha unamkata gwala tu basi,unakua umemaliza maneno
hao ni wale nyangusage si sambi sako menyewe hivi nyani ngabu huna undugu nao hawa wajukuu wa mkwawaWakati wa ujana wangu hapakua na mambo ya usumbufu kwenye kuzoza.
Sikuzile ilikua ni kupimia mida wa mlimbwende akielekea kisimani, then unamfuata huko huko, kisha ukimsemeha akasimama kwanza unamsoma usoni hadi utambue nini anamaanisha, kisha unamkata gwala tu basi,unakua umemaliza maneno
sasa usipo sumbuliwe wewe nani asumbuliweIla kuna mwingine hata umwambieje haelewiii, hata usipopokea simu atakutext au kukufata fata yani mtu mpaka unachukia
Na usababishwa na tamaa. Kupenda kula bila kuliwa.Hiyo inaitwa 'sitaki nataka'