Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 12,105
- 35,135
ilikua inatakiwa elimu ya mapenzi mahusiano na ndoa iingizwe kwenye mitaala ya kufundishia huko shuleni na pia iingeingizwa pia kwenye katekisim huko makanisani. maana mpaka leo hii mapenzi yameweza kuleta shida zisizotatulika katika jamii zetu hadi inatisha kwakeli.

