Kuna PETROFUELS pia. Ni walewale?Jamaa wako fit sana kibiashara, wana yard yao kubwa pale Kipawa, karibu kabisa na depot ya Jeje Steel ambhayo imejaa hayo malori ya kusafirishia mafuta.
Kuna PETROFUELS pia. Ni walewale?Jamaa wako fit sana kibiashara, wana yard yao kubwa pale Kipawa, karibu kabisa na depot ya Jeje Steel ambhayo imejaa hayo malori ya kusafirishia mafuta.
Are you thick or something!!!!??????
Wewe inakuhusu nn hata zikiwa elfu, Wabongo mmejaa majungu tu, fanyeni kazi mnunue ya kwenu. Hamkawii kusema RA na EL kwa jinsi mlivyo wazito kufikiri.
Shame on you......
how do a THICK person look like?
I gues you didn't mean to write sick!! no yes I mean a big no.
you canot replace ''s'' with a ''th'' erroneously, If that is the case then you must be sick!!
Jamani ... Hebu Mwacheni mtu wa watu ingawaje ustaarabu si jambo la kununulika dukani... nina maana kwamba alieuliza swali ana maana yake na hakuna haja ya kuparura kama makucha ya nyau bila sababu....
Pli Neno thick ni la kawaida kabisa na ni tusi kubwa kwa wazungu ...mtu asije kukuambia are you thick ukafikiria amekosea akimaanisha are you sick... zote thick na thick ni matusi ya wazungu yanayobeba uzito tofauti...
Are you thick ni kama vile mtu akikuambia hivi wewe ni taahira kichwani?
Na akikuambia are you sick ni kama vile amekuambia vipi una upungufu wa mawazo? au hivi wewe ni opunguani wa akili?
Neno Thick ni tusi kubwa kuliko sick maana haya manano hutumia mara nyingi na wazungu wenye ma hasira yao au kama wakiudhiwa na mtu kama wewe na mimi waweza kusema hivyo in a heat of the moment.... hii ni kwa tafsiri yangu na tafadhalini msije mkanikimbilia kuniambia hebu leta source... haya ni maneo ya mitaani sana kama vile maneno kihiyo, zezeta, zuzu, Jero au wekundu wa msimbazi yanavyotumika kwa kiswahili cha kawaida....
kweli huyu anayeuliza hajaenda shule,
Nina mtizamo kama wa massaiboi lakini tofauti kidogo....Kusema kweli tangu nimejiunga JF naona wanajamii wengi wanapenda kuulizana hiki ni cha nani na kile ni cha nani....na mara nyingi makampuni haya huwekwa bayana kuwa ni ya mafisadi papa na watu wengine mashuhuri a.k.a wakubwa ....lakini ninajiuliza kwanini tunapenda kujua haya yote wakati hatuyafanyii kazi yoyote au hayatusaidii chochote? Labda niulize swali la kizushi....hivi mtu akijifunza kwamba governor wa kwanza wa ujerumani tanganyika alikuwa akiitwa richard tunbull au vita vya majimaji viliongozwa na kinjekitile na mwingine akajifunza namna ya kupaisha ndege au namna ya kutibu ugonjwa wa malaria; kati ya hawa ni nani atakuwa amejifunza jambo litakalomsaidia yeye na jamii iliyomzunguka? The bottomline.....tujifunze mambo yenye manufaa na tuache kupiga soga hili sio jukwaa la soga.....a normal human being should at least learn something (beneficial) in a day....sasa unakaa kuanzia asubuhi mpaka jioni unakuwa umejifunza...kampuni flani ni ya flani na nyingine ni ya flani...inakusaidia nini katika maisha yako ya kila siku ya kutafuta mkate? Haya ni maono yangu and you can argue whatever it suits you....
Salaam wanaJF!
Hiyo kampuni ni ya usafirishaji wa bidhaa za mafuta (petroleum). Na destination yao ni kwenye migodi ya madini inayomilikiwa na Barrick kupitia kwa African Barrick!
Hii kampuni ina lorries zaidi ya 100! Kwa wale wanaokaa pembezoni mwa barabara ya DSM-Moro-Dom-Singida-Igunga-Kahama-Biharamulo,naamini wanafahamu namna gani hiyo kampuni ilivyo na lorries za kumwaga.
Sasa mmiliki wake ni nani? Kwani kampuni hiyo inaandikwaga kama PRIMEFUELS (T) LTD! Ina mana ipo pia na nje ya TZ,ya hapa TZ ni kama branch. Nani anamiliki mali yote hiyo?