Nani mmiliki halali wa Clouds Media Group?

Nani mmiliki halali wa Clouds Media Group?

Ruge ni mwajiriwa, clouds ni ya familia ya marehemu Mzee Kusaga alikuwa BIMA zamani
 
Clouds media ilikuwa inamilikiwa na Kusaga family mpaka kufikia 2012/13 ikanunuliwa na Rostam Aziz (Caspian) lakini Management ikabaki kama ilivyokuwa ila directors wote wakahamia Caspian head quarter Dubai. Uuzwaji huu haukutangazwa lakini naujua binafsi kutokana na watu wangu wa karibu na Caspian.
 
Clouds media ilikuwa inamilikiwa na Kusaga family mpaka kufikia 2012/13 ikanunuliwa na Rostam Aziz ( Caspian) lakini Management ikabaki kama ilivyokuwa ila directors wote wakahamia Caspian head quarter Dubai. Uuzwaji huu haukutangazwa lakini naujuwa binafsi kutokana na watu wangu wa karibu na Caspian.
Kwani kwa sasa mmiliki ni Rostam aziz na sababu zilizopelekea kufikia hapo ni zipi?
 
Namkumbuka Yule Mzee Kusaga wa NIC akiishi flat za pale Upanga sea view kipindi anaanzisha Radio yake hadi akaanza kugawa vipeperushi flatini akisema Mwanae ndie ataiendesha Miaka ile kelele za Joseph nilikwisha tambua ni ficho tu, habari kamili zilisema yeye ndie mmiliki... R.I.P Mzee kusaga mzee wa Benz
 
Joseph Kusaga and family wana miradi mingine sio clouds media, hiyo ni joint partnership kati ya Joseph na Ruge since 1998 ku convert mawingu kuwa clouds ndio alama ya kuwa independent venture kutoka kwenye family ya Kusaga. Otherwise members wa Kusaga wanaingia kwa kununua hisa kama shareholders wengine.

Nakubaliana na msemaji mmoja hapa kwamba hawa watu wawili wanategemeana sana akitokea mmoja kujiengua clouds media itakufa.
Hawana uhusiano wowote na TISS.
 
Mi sibishani tena maana Leo hii nikikuuliza clouds ilianzaje Na wapi ?? Utojibu jackass. Am out.
ruge ni zaidi ya mwajiriwa clouds... ruge halipwi mshahara na mtu pale clouds.. ni mmojawapo ya owner... na ndie alieifikisha clouds ilipo now
 
Definition of propagation. : the act or action of propagating: as a : increase (as of a kind of organism) in numbers b : the spreading of something (as a belief) abroad or into new regions c : enlargement or extension (as of a crack) in a solid body.

Kwa hapo tu inaonyesha ur allegations ni unfounded and untrue
Usipende kukariri mambo mkuu.
 
Clouds Media Groud ni Mali ya Kusaga's Family mwanzilishi wa Clouds Media ni Marehemu mzee Kusaga.. Joseph Kusaga anasimamia ... Ndio maana kwenye uongozi ipo ivi Joseph Kusaga.. Alafu Shebba Kusaga alafu wanafuata ao akina Ruge alafu kuna Alex Kusaga na God Kusaga.. Erick Kusaga alikuwepo ila wakamchanganya akaondoka yuko RFA.. Ova
Judith Kusaga umemsahau
 
Hiyo uliyotoa nayo ni hoja? Nisipende kukariri nini?

Next time kama huna point ya ku argue against my post usi quote tu kijinga jinga.
Dogo tulia dawa ikuingie, mbona unashindwa kutuliza saburi kwenye kistuli??

Mweupe kichwani halafu unataka tusiku-quote?? We nani??

JF siku hizi imevamiwa na vilaza sana, sijui kwa nini.
 
Dogo tulia dawa ikuingie, mbona unashindwa kutuliza saburi kwenye kistuli??

Mweupe kichwani halafu unataka tusiku-quote?? We nani??

JF siku hizi imevamiwa na villaza sana, sijui kwa nini.
Mtu mwenye akili tayari ashakuelewa unaposimamia. Hapo juu nimekuuliza ni hoja gani uliyotoa ili ujibiwe. Sasahivii unaleta maneno machafu kama KINewYorkElewaOkoka cha Mama Yako.

Maneno ya shombo kila mtu anajua. next tym fikiri mara mbili kama ya ku reply utumbo
 
Watoto mliolelewa familia kila "mtoto na baba yake" mna matatizo sana.

Dogo ukiwa hapa JF jifunze kutuliza masaburi yote mawili kwenye kistuli kabla ya kuhemka.

Hoja hujibiwa kwa hoja, jenga hoja tetea hoja, si kuleta nyodo za kike mbele ya wanaume wenzio.
Kuna mabaazazi humu kama mzabzab , ukileta nyodo za kike wanakushugulikia tu.

Shauri lako.

Danny wa kijani.
 
Hoja uliyotoa ni ipi zaidi ya kum attack mtu bila grounds zozote? We utakuwa na matatizo ya akili. Una kichwa kigumu sana kuelewa na hilo ni tatizo la mitoto kuzaliwa na baba shoga. So sio kosa lako pole sana

Back
Top Bottom