Nani mmiliki halali wa Clouds Media Group?

Nani mmiliki halali wa Clouds Media Group?

Chombo cha TISS kile kwa ajili ya propagation.........

Hakuna cha Kusaga wala Ruge hapo, wote ni watumishi wa "inji hii" kupitia angle hio.

Definition of propagation: The act or action of propagating: as a : increase (as of a kind of organism) in numbers b : the spreading of something (as a belief) abroad or into new regions c : enlargement or extension (as of a crack) in a solid body.

Kwa hapo tu inaonyesha ur allegations ni unfounded and untrue
 
Wakati mwingine Una google Tu vitu vingine siyo kujaza server hapa. Haya mambo tumeshajadili humu kitambo Sana. MMILIKI NI KUSAGA FAMILIES WAKIONGOZWA NA JOE HUYO RUGHE NI MUAJIRIWA KAMA AKINA SHAFI NA KIPANYA. RUGHE NI MKURUGENZI WA VIPINDI NA UZALISHAJI WA CLOUDS MEDIA.

mkuu hapo umefafanua vizuri sana sema ujamalizia kipande kidogo, je ruge ni mwajiriwa ama sehemu ya wamiliki? na je nani ni nan?
 
Umiliki na uanzishwaji wa clouds hauwezi kuutenganishwa na Ruge hata kama mtakariri ni mali ya familia ya Kusaga. Ruge ni Patina wa familia hiyo kwenye umiliki wa Clouds sio tu mwajiriwa.
 
Wengi mnapiga bla bla tu hamjui mmiliki/wamiliki mnadakia juu kwa juu. Halafu hii ni Clouds Media Group ina maana chini yake kunaweza kuwa na several companies zenye different ownerships. Kwanini tuamini kama ni Kusaga's just because ndiyo tunawasikia na wasiwe watu wengine. Mnaweza kutoa uthibitisho wa shareholdings ya CMG? Tukishajua mmiliki inatusaidia nini/kuna kitu gani tunataka kuaddress kwenye uzi huu?
 
Wengi mnapiga bla bla tu hamjui mmiliki/wamiliki mnadakia juu kwa juu. halafu hii ni Clouds Media Group ina maana chini yake kunaweza kuwa na several companies zenye different ownerships. Kwanini tuamini kama ni Kusaga's just because ndiyo tunawasikia na wasiwe watu wengine. Mnaweza kutoa uthibitisho wa shareholdings ya CMG? Tukishajua mmiliki inatusaidia nini/kuna kitu gani tunataka kuaddress kwenye uzi huu?
Mkuu povu la nini tena? Kwani nini tatizo Ruge? Tujadili kwa hoja wewe lete hoja za majibu na sio blabla zako ulizoziweka hapo
 
clouds ina wamiliki wawili.. joseph kusaga na ruge mutahaba..

hawa watu wanategemeana sana kuna mmoja mzuri sana kwenye kuweka hela.. na kuna mwingine mzuri sana kwenye kuzungusha hela izae...

na ndio maana amefanikiw... yeyote kati ya hapo akijitoa clouds inakufa kifo cha mende
Akifa je mmoja wapo?
 
Wakuu wana jamvi kuna suala la msingi ambalo watu wengi wangependa kujua.

Hivi nani mmiliki halali wa Clouds Media Group kati ya Joseph Kusaga na Ruge Mutahaba? pia ni vyema tungepata mahusiano yaliyopo kati ya Clouds na FIESTA.

Tungependa kujua
CV zao
upatikanaji wa fedha za kuanzisha kampuni hilo
Mahusiano yao na wafanyakazi hapo

Nawasilisha
Ukijua ikusaidie nini??
 
Ruge ni zaidi ya mwajiriwa clouds... Ruge halipwi mshahara na mtu pale clouds.. ni mmojawapo ya owner... na ndie alieifikisha clouds ilipo now

Wakati mwingine Una google Tu vitu vingine siyo kujaza server hapa . Haya mambo tumesha jadili humu kitambo Sana. MMILIKI NI KUSAGA FAMILIES WAKIONGOZWA NA JOE HUYO RUGHE NI MUAJIRIWA KAMA AKINA SHAFI NA KIPANYA.RUGHE NI MKURUGENZI WA VIPINDI NA UZALISHAJI WA CLOUDS MEDIA.
 
Umiliki na uanzishwaji wa clouds hauwezi kuutenganishwa na Ruge hata km mtakariri ni mali ya familia ya Kusaga.Ruge ni Patina wa familia hiyo kwenye umiliki wa Clouds sio tu mwajiriwa.
Nakuunga mkono, ni zaidi ya mwajiriwa
 
Ndugu kilaza mjanja Clouds Media ina historia ndefu Kama wewe ni mwenyeji wa miaka 20 hapa Dar utakuwa unakumbuka kulikuwa na Mawingu Studio na kabla ya mawingu Studio nakumbuka Bwana Joseph Kusaga alikuwa akipiga disco pale Kilimanjaro Pool side kila weekend akiwa na Bornluv na wengine hiyo yote lengo ni kutengeneza unachokiona sasa. Hebu waacheni hawa vijana wametoka mbali sana, wamehangaika mno kukuza mtaji walionao sasa, kama huwajui acha tu mengine yakupite.


Wakuu wana jamvi kuna suala la msingi ambalo watu wengi wangependa kujua.

Hivi nani mmiliki halali wa Clouds Media Group kati ya Joseph Kusaga na Ruge Mutahaba? pia ni vyema tungepata mahusiano yaliyopo kati ya Clouds na FIESTA.

Tungependa kujua
CV zao
upatikanaji wa fedha za kuanzisha kampuni hilo
Mahusiano yao na wafanyakazi hapo

Nawasilisha
 
Ndugu ****** mjanja Clouds Media ina historia ndefu Kama wewe ni mwenyeji wa miaka 20 hapa Dar utakuwa unakumbuka kulikuwa na Mawingu Studio na kabla ya mawingu Studio nakumbuka Bwana Joseph Kusaga alikuwa akipiga disco pale Kilimanjaro Pool side kila weekend akiwa na Bornluv na wengine hiyo yote lengo nikutengeneza unachokiona sasa. Hebu waacheni hawa vijana wametoka mbali sana wamehangaika mno kukuza mtaji walionao sasa, kama huwajui acha tu mengine yakupite.
Mimi najua ya ndani zaidi yako, unajua walipataje vibali vya kuanzisha media? Unajua nani yupo nyuma ya shirika hilo? Je unajua kuwa kuna kipindi waligombana wenyewe kwa wenyewe wakaichoma hizo studio za clouds?
 
Back
Top Bottom