Nani mmiliki halali wa Clouds Media Group?

Nani mmiliki halali wa Clouds Media Group?

kilaza mjanja

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2016
Posts
654
Reaction score
1,144
Wakuu wana jamvi kuna suala la msingi ambalo watu wengi wangependa kujua.

Hivi nani mmiliki halali wa Clouds Media Group kati ya Joseph Kusaga na Ruge Mutahaba? Pia ni vyema tungepata mahusiano yaliyopo kati ya Clouds na FIESTA.

Tungependa kujua
CV zao
Upatikanaji wa fedha za kuanzisha kampuni hilo
Mahusiano yao na wafanyakazi hapo

Nawasilisha
 
Clouds ina wamiliki wawili.. Joseph Kusaga na Ruge Mutahaba..

Hawa watu wanategemeana sana, kuna mmoja mzuri sana kwenye kuweka hela.. na kuna mwingine mzuri sana kwenye kuzungusha hela izae...

Na ndio maana amefanikiwa... yeyote kati ya hapo akijitoa clouds inakufa kifo cha mende
 
clouds ina wamiliki wawili.. joseph kusaga na ruge mutahaba..

hawa watu wanategemeana sana kuna mmoja mzuri sana kwenye kuweka hela.. na kuna mwingine mzuri sana kwenye kuzungusha hela izae...

na ndio maana amefanikiw... yeyote kati ya hapo akijitoa clouds inakufa kifo cha mende
Mkuu fafanua kwani hapo sijakupata, mbona mmoja ndio anaonekana mtumishi mwingine ndio bosi?
 
Clouds Media Group ni Mali ya Kusaga's Family mwanzilishi wa Clouds Media ni Marehemu mzee Kusaga.. Joseph Kusaga anasimamia ... Ndio maana kwenye uongozi ipo hivi Joseph Kusaga.. Alafu Shebba Kusaga alafu wanafuata ao akina Ruge alafu kuna Alex Kusaga na God Kusaga.. Erick Kusaga alikuwepo ila wakamchanganya akaondoka yuko RFA.. Ova
 
Clouds Media Groud ni Mali ya Kusaga's Family mwanzilishi wa Clouds Media ni Marehemu mzee Kusaga.. Joseph Kusaga anasimamia ... Ndio maana kwenye uongozi ipo ivi Joseph Kusaga.. Alafu Shebba Kusaga alafu wanafuata ao akina Ruge alafu kuna Alex Kusaga na God Kusaga.. Erick Kusaga alikuwepo ila wakamchanganya akaondoka yuko RFA.. Ova
Mkuu hapo umefafanua vizuri sana sema hujamalizia kipande kidogo, je Ruge ni mwajiriwa ama sehemu ya wamiliki? Na je nani ni nani?
 
wakuu wana jamvi kuna swala la msingi ambalo watu wengi wangependa kujua.

Hivi nani mmiliki halali wa clouds media group kati ya joseph kusaga na ruge mtahaba? pia ni vyema tungepata mahusiano yaliopo kati ya Clouds na FIESTA.

Tungependa kujua
CV zao
upatikanaji wa fedha za kuanzisha kampuni hilo
Mahusiano yao na wafanyakazi hapo

Nawasilisha
Cv za zinakuwashia nini?

Anza kushare yako
 
wakuu wana jamvi kuna swala la msingi ambalo watu wengi wangependa kujua.

Hivi nani mmiliki halali wa clouds media group kati ya joseph kusaga na ruge mtahaba? pia ni vyema tungepata mahusiano yaliopo kati ya Clouds na FIESTA.

Tungependa kujua
CV zao
upatikanaji wa fedha za kuanzisha kampuni hilo
Mahusiano yao na wafanyakazi hapo

Nawasilisha
Ni Joseph kusaga na ni mwenyeji wa musoma Mara .....watu wa huko hawanaga mdomo sana huwa ni watu wa kudeliver halafu kimya....[emoji188] [emoji188] [emoji188]
 
mkuu hapo umefafanua vizuri sana sema ujamalizia kipande kidogo, je ruge ni mwajiriwa ama sehemu ya wamiliki? na je nani ni nan?
Ruge kaajiriwa pale na katika kuajiriwa kashafungua mambo yake binafsi kama ThT house na Mkeka Sports Betting kwa lugha nyingine ni Mmiliki wa THT house, Mkeka Sports Betting .. Mengine yapo ni shareholder ila hapa sio mahala pake
 
Chombo cha TISS kile kwa ajili ya propagation.........

Hakuna cha Kusaga wala Ruge hapo, wote ni watumishi wa "inji hii" kupitia angle hio.
Yah mwaka huu kuna mtu mmoja maarufu aliniambia kuhusiana na hilo suala (ila yeye alisema ipo chini ya Serikali).
 
Mmh hawezekani serikali ikawa na taasisi ya uzalishaji kwaa kificho
 
Back
Top Bottom