alexmahone
JF-Expert Member
- Apr 8, 2011
- 482
- 406
Walevi waliokota kioo.,mlevi wa kwanza baada ya kutazama akasema.,"Hii sura si ngeni ila jina silikumbuki"..Mwenzie akakichukua kile kioo na kuangalia kisha akasema "We chizi kweli,si mimi huyu unajifanya hunijui"?
Nani mlevi zaidi hapo
Nani mlevi zaidi hapo