Nani mkali wa kuimba chorus bongo?

Nani mkali wa kuimba chorus bongo?

Mi nafikiri kwa sasa kuna kina Ally Choki, Muumin, Christian Bella, Jose Mara, Chokoraa, Chalz Baba...mkuu yaani orodha ni kubwa ila hao niliowataja ndiyo wapo juu sana.
 
Ngoja nitoe matokeo ya jumla hapa: na mshindi ni G-nako
 
Mi nafikiri kwa sasa kuna kina Ally Choki, Muumin, Christian Bella, Jose Mara, Chokoraa, Chalz Baba...mkuu yaani orodha ni kubwa ila hao niliowataja ndiyo wapo juu sana.
Wakati huo hizi ipad na hizi mp3 players hazijatoka,mtu unanunua ile radio ndogo ya kuweka mfukoni na earphones zako
 
G wara wara the kankara finnest of AR, G nako habari nyingine
 
mavoko anazipatia sana izo mambo mfano mzuri kwenye nyimbo ya shetta sina iman
 
Mawingu hao,hawana huruma kabisa.Wame tumia vipaji vyako kutengeneza hela halafu wakawatosa

Albamu ya Joslin ilikuwa kama ya dimond,hakuna kupeleka mbele nyimbo zote kali.Huyo Q jay na makamua ndio balaa kabisaaa

Hivi wako wp hawa waimbaji wa kweli jamani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom