Nani mkali wa kuimba chorus bongo?

Nani mkali wa kuimba chorus bongo?

Huyo hata kidogo sanaaaaaa bell 9 ,jux,Ally kiba, wasanii wengi mno mpaka nawasahau
 
Gnako warawara na Linex hawa ndio huifanya nyimbo iwe nzuri....

Leka dutigite bila linex ingekuwa kama ile song yao ya pili ambayo haiku hit.
 
unanikumbusha aliposhirikishwa na OCG kitu Akwelina!sidhani kama Matola anakumbuka au anajua hilo ngoma

Aquelina eeh tulimalize tatizo... aquelina mpenzi nakupenda
 
Last edited by a moderator:
1. Juma nature - best all the time kwangu

2. G. nako - huwa nam-term kama mrithi wa nature

3. Beka tittle - yuko b.o.b click

4. Mandojo & domokaya - deserve this

5. Quick rocks - anafanya poa pia

6. Blue
 
unanikumbusha aliposhirikishwa na OCG kitu Akwelina!sidhani kama Matola anakumbuka au anajua hilo ngoma

ilikuwaa saa 9 kasoro robo robo eehh banae wakati kijana mdogo......
 
Last edited by a moderator:
***** imebidi niiingie youtube niangalie ngoma za Nature alizoshirikishwa,hii kaimba na Sqeeza naja ni noma mazee

Kuna ile ngoma na Mike T, nampenda mpenda nani na ile ngoma ya Radhia, daaah, jamaa anajua aisee, wapinzani watasubiri sana kufika level zile.


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom